Kuku ya Kicheki
Kuku cha ukoo wa kiasili ya Kicheki
Kuku Shumava
Sifa za kuku Shumava
Ziko za kimo cha kati, zilifufuliwa kutoka kwa asilia kuku Shumava katika karne ya 20. Zina ukalifu, oga chonjo, nyenyekevu katika malisho na ufugaji, mkingamo, imara na hodari katika windo ya vyakula. Hukuwa haraka kimwili na manyoa ya vifaranga zake hukuwa kwa haraka sana. Hutaga mayai mengi na nyama yake pia ni nyingi. Iko na kichana cha waridi ambayo husaidia na kinga dhidi ya barafu basi kufanya kufugwa kwa mazingira makali ya hewa. Hufugwa kwa kiwango kidogo pia hata kiwango kubwa sana ambapo kuku hizi huweza kujitafutia vyukla yenyewe.
Jogoo huwa na kilo 2.9 hadi 3.6. Kuku kilo 2.4 hadi 3.1. Kuku hutaga mayai nyngi kama 180 kwa mwaka yenya uzani ya gramu 58. Rangi ya yai ni kahawia, nyama ni nzuri sana, tamu na nyepesi, sio watamashaji wazuri.
Kimo cha pete
jogoo 20 mm
kuku 18 mm
Kuku Shumava kibeti
Zilitengezwa katika muhula wa pili wa karne ya 20. Jogoo huwa na uzito kilo 1.1 hadi 1.4. Kuku kilo 0.9 hadi 1.2. Kuku hutaga yai 120 kwa mwaka yenye uzani gramu 40, hufugwa kwa rangi ya dhahabu na rangi nyeusi mwilini na mkia eusi.
Kimo cha pete
jogoo 15 mm
kuku 13 mm