Kuku ya Kicheki Facebook Twitter LinkedIn

Kuku cha ukoo wa kiasili ya Kicheki


 • Mwanzo
 • Historia ya Kuku za Kicheki
 • Kuku dhahabu za kicheki
 • Kuku Shumava
 • Kuangua mayai za mauzo
 • Wasiliana nasi

 • We need Swahili translator

  Kuku dhahabu za kicheki

  Sifa za kuku dhahabu za Kicheki

  Ni mwepesi, hujirakibisha haraka kwa mazingira magumu ya sehemu ya kati ya Ulaya, zina ukalifu, oga chonjo, nyenyekevu katika malisho na ufugaji, mkingamo, imara na hodari katika windo ya vyakula. Sifa hizi inaifanya kuwa bora kwa mazingira ngumu pia katika kufugwa kwa kiwango kubwa ambapo zitahitajika kujitafutia lishe zenyewe.

  picha Kuku dhahabu za kicheki, kuku picha Kuku dhahabu za kicheki, jogoo

  Jogoo huwa na uzani ya kilo 2.3-2.8. Kuku ni nzuri kwa kutega mayai hadi 150-190 kwa mwaka yennye uzani ya gramu 55-60 ambazo zangi huwa ya mtindi hadi kahawia. Nyama huwa ya hali nzuri sana, ni tamu na nyepesi. Kuku tamia huwa walezi bora na hutega mayai na kuangua na kulea vifaranga.

  Rangi

  Rangi kamili huwa dhahabu nyumbu na kwara. Baadaye rangi nyingine tofauti tofauti hujitokeza kama; dhahabu, fedha, fedha nyumbu, nyeusi, na nyeusi-eupe. Hizi rangi tofauti husababishwa na jenitikia tofauti zinatengenezao rangi za manyoa. Ringi zote mbalimbali ziko na sifa sawia.

  Kimo cha pete
  jogoo 18 mm
  kuku 16 mm

  Kuku kibeti za Kicheki

  Kuku hizi zilitengezwa katika karne ya 20, jogoo wake wana uzito wa kilo 0.9-1.2, kuku kilo 0.7-1. Kuku hutega mayai 100-120 kwa mwaka yenye uzani gramu 40. Huhifadhiwa katika dhahabu nyumbu na fedha nyumbu.

  Kimo cha pete
  jogoo 13 mm
  kuku 11 mm

  Kuku ya Kicheki > Kuku dhahabu za kicheki

  Copyright © Kuku ya Kicheki, 2008-2024. Haki zote zimehifadhiwa. Sasisha la mwisho: 01. Aprili 2024