Kuku ya Kicheki Facebook Twitter LinkedIn

Kuku cha ukoo wa kiasili ya Kicheki


 • Mwanzo
 • Historia ya Kuku za Kicheki
 • Kuku dhahabu za kicheki
 • Kuku Shumava
 • Kuangua mayai za mauzo
 • Wasiliana nasi

 • We need Swahili translator

  Historia ya Kuku za Kicheki

  Kuku za Kicheki ni za karne nyingi iliyopita, karibu miaka ya 1205 wakati fugo za kuku za kicheki zilipewa mfalme Valdemar wa himaya ya Udeni kama zawadi ya harusi kwa ndoa yake kwa binti mfalme Margaret wa Bohemia. Zilikuwa zinahifadhiwa kwa rangi tofauti kwa kiwangi kikubwa, haswa rangi za dhahabu na kimwitu. Kuku hizi zilitolewa kwa wakulima wadogo wa kienyeji, kuku hizi ziliwekwa katika Ucheki hadi nusu karne ya 19, kuanzi katkati ya karne ya 19 kuku hizi zili changanywa na fugo zingine ambazo zilitoka nchi/mataifa zingine za mbali hali ambayo ilifanya kuku za kiasili ya kicheki kudidimia sana na kukawa na hali kuisha kabisa.

  picha Kuku dhahabu za kicheki, kuku picha Kuku dhahabu za kicheki, jogoo

  Hata hivyomnamo agosti 1913 karel skoda aliyezaliwa 3 Februari 1862 na akfa 1 Mei 1927 kutoka halickuv brod aliunda fugo kutoka kwa kuku aslia abazo zatoka katika milima ya Bohemia-Moravia na Humpolec. Karel Škoda alitengeza miundo mbili-moja kutoka kijiji ya Komorovice na pili akanunua kutoka shamba ya kijiji ya Český Šicendorf (sasa hivi Stříbrné Hory). Mnamo 1924-1925 miundo ya komotovice ya litambulika na kuitwa kuku dhahabu za kicheki na miundo kutoka Český Šicendorf ikaitwa kuku kwara za kicheki. Čestmír Sedlák (kuzaliwa 1890 akafa 5 Juni 1957) aliziunganisha kuku asilia zilizobaki na kuzihifadhi kule Klatovy na Dobříš. Baadaye zikajumulishwa kuwa fugo moja. Kuku za dhahabu zikawa za biashara mnamo 1936, 1985 kuku 3600 zika hifadhiwa. Kuku dhahabu za kicheki ikajumulisha katika maktaba ya mazawa ya kicheki. Kibeti ya iana mbali mbali ya kuku za kicheki iliundwa katika karne ya 20.

  picha Kuku dhahabu za kicheki, kifaranga picha Kuku dhahabu za kicheki, kifaranga

  Kuku Shumava

  Asilia yake ni misitu yachini ya milima ya Bohemia (kwa kicheki Šumava). Kuna uwezekano kwamba ni moja ambazo zatoka sehemu mbambali ya kuku za kicheki. Kwa bahati mbaya kuku Shumava haziko tena. Historia iliyoko sasa hivi za fugo hizi zilianza mnamo baada ya 1945. Kwa ufufuo wa hizi kuku zilitolewa kutoka vimperk na kaspeske hory kwa sababu zilikuwa za namna ya Shumava. Kuku hizi zilichanganywa kimfugo na fugo zingine kama rhodeislan, wyandote, Plymouth rock newhempshire mwishowe kuku za kicheki, matokoeo yakawa kuku Shumava ambazo ni tofauti kidogo za zilezilizo kuwa asilia. Kuku Shumava zinafugwa kwa rangi ya dhahabu na nyeusi kwa mwili na mkia mweusi.

  Kuku ya Kicheki > Historia ya Kuku za Kicheki

  Copyright © Kuku ya Kicheki, 2008-2024. Haki zote zimehifadhiwa. Sasisha la mwisho: 01. Aprili 2024